@ZakayoMmbaga Kwa harakaharaka unaweza ukawa sahihii lakini nikukumbushe tu kuwa hamna rangi yoyote kati ya hizo iliyopo kwenye rangi za Jeshi letu. Ni sawa tu na ingekuwa rangi za pink na kijivu hata hiyo sheria ya (NDA 1966 Sec 99(a) isingeweza kuwa applicable hapo.