@airtel_tanzania Ndio mliniuzia 53k mkasema ndani kuna gb20, baada ya siku mbili zimeisha, nkaambiwa kila nikijiunga kifurushi cha 10k kwa mwezi nakuwa napat gb 5 za offer, nkauliza hizo gb za offer nikipewa sipati notification naambiwa hizo huwa zinaingia kimya kimya na ukiangalia salio huzioni!
@airtel_tanzania Sasa kama nilitaka kujua muda wa maongezi si ningecheki mwenyewe. Nataka kufahamu breakdown ya gb zangu na pia mnionyeshe hizo gb 60 ambazo ukinunua router unapewa mlinipa lin?