I find myself in the house of the GOD, I live to praise and worship GOD, I worship GOD in every season, our GOD is so faithful, pray without ceasing GOD IS GOOD
@wolowolo4250@AbroadTanzania Una uhakika gani kuwa alikuwa shetani Je una ushahidi wowote kuwa Mungu ndiye sababu ya kifo cha hayati magufuli.. acha kuandika vitu huna uhakika navyo.. yan tunakuwa watu wa kutoa hukumu kuliko yeye mwenye mamlaka ambae kila mmoja anaishi kwa kusudi lake
@airtel_tanzania@Inno_Coyg Mim nmetumia router ya airtel jmn ni kwel kbisa wanakupa GB 60 na zinapoisha ndipo utakapoanza kununua bundle kwa kutumia utaratibu walioweka.. kiukwel ni kifaa chenye speed maan line yake inakuwa special kbsa wanauwa mfumo wa call za kawaida wanaongeza nguvu kwa internet.
@JonMrema EMBU TUTOKE NJE YA NAFASI WALIZONAZO, KWANI WAO SI WATU KAMA WATU WENGINE JE HAWARUHUSIWI KUVAA MAVAZI WALIYOVAA AU WANAOVAA WATU WENGINE.. TUTAFUTE NAMNA YA KUWASHAMBILIA WATU WAKIWA WAMEKOSEA KWELI KATIKA KAZI ZAO LAKINI SI KATIKA MAVAI JMN
SIKO UPANDE WOWOTE NI MAONI TU.
@JotiOfficial Spirit lead me where my trust is without borders
Let me walk upon the waters
Wherever You would call me
Take me deeper than my feet could ever wander
And my faith will be made stronger
In the presence of my Saviour
@cousinistore @William41239129@millardayo Bro inaelekea unaijua sana kesho yako kuliko Mungu wako.. kama wew una elimu na umebahatika kuwa mfanyakazi au mfanya biashara mshukuru Mungu sana na jaribu kuomba pia uzao wako usije kuwa boda boda na kama hujui kesho yako na yawatot wako usiseme watu vibaya โ
@MisalemoMollel@furaha_nzunda@CloudsMediaLive Kaka umeona nani kaandika issue ya bandari hapa hayo unayaleta wew mada ni NANI MATAKATIFU ZAID YA MUNGU TU HIZO HABARI ZA UCHAWA NA BANDARI PELEKA HUKO HATUNA MADA HIYO SISI NA TUNAFUNDISHANA WALA HATUNA UGOMVI HAPA
@dsonthegm@MisalemoMollel@furaha_nzunda@CloudsMediaLive Sasa ni sawa kufwata waraka wa maaskofu na siyo wa Mungu tena? Neno ni moja tu la Mungu basi haya sijui watu wamekaa chini wakaandika mim sielewi na sitak kuelewa kwakwel Mungu hakukosea kuandika Neno lake na kila kitu kimemalizwa mule hvyo tu inatosha.
@ChidiLuba@furaha_nzunda@DVD070890@KemboOkumu@CloudsMediaLive Safi sana na hilo ndo nakataa mimi mfano mzuri katika hvyo vitabu 7 kuna sala za wafu... ukija kwenye biblia maandiko yanasema usifanye sala za wafu... Yani kuna vitu wakatoliki mkiambiwa mnakuwa wabishi sana sema ni imani ya mtu bana kwa mtu anaetaka majibu sahih atasoma biblia
@Hulilo_BM @furaha_nzunda@CloudsMediaLive Swali langu dogo sana kwamba hvyo vitabu 7 sasa ni Mungu alijisahau akarudi akawaambia jamn nilisahau kuna vingine 7 hv hapa acheni nimewaandikia na aliwapa wakina nani, afu hvyo 7 mbna vinajieleza kbsa sema tu vilivyopigwa kwenye biblia kwenye hvyo 7 wao wanafanya
@furaha_nzunda@CloudsMediaLive Wewe vitabu ni 66 tu hvyo 7 vya wakatoliki hatusomi sisi na tunajua historia ya hvyo vitabu vimetoka wapi na vipo kwa matakwa ya watu gani.... ile namba ya yule mnyama unaijua wew vitabu ni 66 nyie mkaja na 7 hya ile hesabu ya 666 imetoka wapi piga hesabu hapo