@HildaNewton21 Lakini kichwa chako Hilda, kinashida sehemu...sidhani kama ubongo wako umetimia kichwani,maana stori zako zinakuaga za kipuuzi sana. Hata wanaokuunga mkono nao ni mandezi tu๐๐๐
@mreno255 Amekurupuka tu kusema hivyo, na wote waaminio kuwa yupo sahihi ni mindless hopeless kabisa....msipende attention za kipumbavu. Kama hawatengenezei nyanya wanatengenezea nini? Si ajabu hata kiwanda kimoja hamjawahi kukiona Wala hamjui Kiko wapi. Nyanya zinatumika sana viwandani
@DiwaniKasoga36@Ayodimejitz Upo sahihi, pikipiki hizi ndogo za mijini ukienda safari ndefu zinachosha sana. Safari ya DSM - MBY ni parefu sana....lazima alirudi hoi hata angepewa K angebaki kuishangaa tu๐
@Mechanicskiid@Ayodimejitz Ushawahi kwenda Mbeya na pikipiki bila kupumzika ukashindwa? Unajua unavyobisha uwe na uthibitisho sio kubisha tu, si ajabu hata kuendesha iyo pikipiki hauwezi
@joeselasini@Labella_Mafia95 Sasa nimepata jibu,kwann kutwa kumuweka kwenye baraza la mawaziri kiazi huyu? Na kuwaacha wengine wa maana, kumbe ni system guy
@TZMsemajiMkuu Yaani Mungu alivyo mkali, screenshot ya kukanusha imechukua sehemu yenye miili iliyofunikwa na shuka za MSD, je...MSD ipo Zambia au Japan?