@EduTalkTz Tanzania tunatakiwa tuwaze tofauti kabsaa , transhumanism and transsexualism inakuja kwa kas .sasa cjui cc tunatrai watu kwa ajili ya hii cjui , inatakiwa tuwekee nguvu nying kwenye biomedical engineering na ai
@EduTalkTz Watoto tunawabana wakiwa secondary wakifka vyuon ambako Sheria n tofauti wanaishia kupata mimba first year
Watoto wafundishwe lakn ukuzi wa umr wao uheshiwe
@KShengelo@amoskirini@CloudsMediaLive Hawajui dini hv vijitu
Mafuta ya upako ,chup za upako ,lesso za upako
Ukivipanga vinajaa meza ya altare
Lakn wakiona wenye Iman wanahaha
@VOICEOFGOSPELTZ@furaha_nzunda@CloudsMediaLive Shida mnasali vkanisa havina kichwa Wala miguuu
Hujui hata origin ya bibilia unayoisoma
Unasema vtabu 77 mara 66 lakn hata origin haujui n kelel za uchawa znawatesa
Ndo mana kwenye bandar mmeacha mnaanza kutushambulia wakatolik