@willynationtz Ata iyo kauli n sawa coz ana mda sana anaumwa awez kuwapambania wadanii wala wanyonge niki yupo sahihi kusema alikua inamsans akipona itakua bora maana mtetez atskua amerud
@ReaganMichael5@zittokabwe Zlikuja kampun nyng zakununua korosho magu akasema atanunua yeye h@kuna kampun ata moja ya tz itarusiwa kununua na ulikua ukikutwa na kurosho unaenda kuomyesha shamba
@obadiadeus@NchimbiRas@RevKishoka Zito na wenje big up kwao wanawapambania watanzania me tokea nafatilia bunge cjaona mbunge wa ccm anapambania wa tz tofaut na wenje najikuta namkumbuka sana deo filp njombe namic sana