VIDEO:
Aliyewahi kuwa Mkuu wa Wilaya ya Ikungi Jerry Muro amemtaka Mbunge wa Jimbo la Kawe, Askofu Josephat Gwajima kwenda kuzungumza na Dkt. Wilbroad Slaa na kumuuliza juu ya vikundi vya utekaji ambavyo amedai Dkt. Slaa ameandika taarifa ya uwepo wa vikundi hivyo katika Chama cha Demokrasia na Maendeleo kupitia kitabu chake cha "Nyuma ya Pazia"
Muro amezungumza hayo leo Mei 26, 2025 akieleza kuwa kuna mengi yaliyosemwa na Dkt. Slaa katika kitabu hicho hivyo akazungume nae.
Pamoja na hayo amemtaka Gwajima kujiuliza juu ya kifo cha aliyekuwa Chacha Wangwe na hata kumsikiliza Zitto Kabwe wakati ameondoka CHADEMA ni yapi aliyasema pengine atajifunza jambo.

@HecheJohn Acha kutishia nyau, wewe wanakukamata kama kifaranga cha kuku tu muda wowote, Kariakoo walikuchukua wakakuonyesha miradi ya Mama, wakakuachia.....kama unatarajia kuvunja sheria, basi tarajia kukamatwa tu, ndio utaratibu yaani.....nasisi tunafurahi ukikamatwa, sababu ni mhalifu.
Huyu ndio mkurugenzi wa uchaguzi, ambae tayari ni @ccm_tanzania alafu ndio mnasema tume iko huru na itatenda haki? Huyu tayari yupo upande wa chama alafu tutegemee fair ground😁😁😁