Mkoa wa Arusha; wagombea udiwani wa MaCCM katika kata 124 watapigiwa kura za NDIYO/HAPANA.
Wagombea wote wa mbogamboga wamepitishwa na msimamizi wa uchaguzi na hawana wapinzani.
Mkoa wa Arusha una kata 160; majimbo 7 ya Uchaguzi. Mbogamboga wameweka wagombea kata zote
ZAMBARAU (kazi maalum) + UBWABWA (mpango wa kando), wamesimamisha wagombea udiwani 36.
Wagombea hao 36 wa ZAMBARAU na UBWABWA ni walevi wa kuokotwa na kupachikwa tu kujaza nafasi
Vyama VIKARAGOSI vinatumika kuhalalisha ushindi wa kishindo wa MaCCM katika uchaguzi uliokosa uhalali.
Vikaragosi hawakujiandaa kushindana. Walipewa kandarasi ya kusaidia taswira ya ‘SPONSA’ wao.
Vikaragosi, mnashiriki kwa namna gani uchaguzi ambao hamkuaanda wagombea udiwani? Pumbavu kabisa.
Tunakubaliana na Humphrey Polepole sasa ya kuwaita ‘kazi maalum’ na ‘mpango wa kando’ wa MaCCM…