|Upcoming president|Dreams to change Africa|Dream to change Tanzania ๐น๐ฟ|Simba&Manchester United fans|Upcoming member of Parliament kigoma municipal Council|
@MkulimaKante wakija mafinga waambie kabisah kuwa watoke kwao wakiwa wameaga
mwanzoni Mimi nilijuaga sumbawanga ndio sehem yenye wachawi but now day naelewa Kuna place hazisemwi ila ni balaa na nusu ni Bora hata sumbawanga kuliko hata hizo sehem na mojawapo ni mafinga na vijiji vyake
@dully_ndyeta@chapo255 Watu wanahisi kila mwarabu ni muislam na hii inapelekea kutokana na dhana za ugaidi walizokuwa nazo waarabu wanazinasibisha na uislam na wanakuja na conclusion ya kwamba waislam wote ni magaidi (wazee wa kujilipua)