@Brain_pro36 Yani ww unazani kuna baba anapenda kutelekeza familia yake hususani watoto wanawake wamewafanyia wanaume mambo mabaya mpaka mtu unaona kuliko udhalilike zaidi bora uwaache watoto na huyo shetani kwa hyo ubaba bora lazima uwe na mama bora nje ya hapo nikamzozo
@millardayo Kwani tanzania nawao wanaushirika na Amerika na israel wa irani wanakwambia hormuz imefungwa kwa nchi zisizo rafiki tu na iran lkn zisizona mafungamano na amerk pamoja na israel zinaruhusiwa sasa kwa nini serikali isitume meli kumi zikatuletee mafuta au biashara ya wakubwa hyo