Remember the Name; Winfrida Hubert , Goal Machine Unstoppable. 🔥🔥
👉Hawa Madogo wa Fountain gate School wa Moto Sana @Tanfootball msiache vipaji vipotee hivi.
YANGA imepangiwa kucheza na Rivers United timu ya huko Nigeria kwenye hatua ya Robo fainali kombe la Shirikisho. Ninaiona YANGA ikitinga hatua ya Nusu fainali bila wasiwasi na bado siioni timu ya Kuizuia YANGA kuwa mabingwa wa Michuano hii.
Wachambuzi safari hii mnasemaje? Yanga hana nafasi ya kupita au tumepangiwa kibonde? Kuna mdau wa Yanga ana 1m hapa anasema Rivers anakufa 4-1 aggregate, kama una mzigo njoo DM.