@Nyabaz@privaldinho 😂😂😂😂. Mpeleke mwanyeto nae akalindwe na mfumo.
Hii hali inanikumbusha kipindi sergio Busquets anachukua namba tim ya taifa spain.... watu wenge walikua wanasema huyu anabebwa na mfumo.
@INFLUENCERjr Maswali muhimu ya @INFLUENCERjr
FIFA wananufaikaje?
Kwanini Messi na sio CR7
Kwanini Argentina na sio England/ Ureno
Walikua wapi 2010, 2014? na kwani sasa?
kwanini cap verde alifuzu na si mwengin
Kwanini Egypt
na kwanini Swizland na Sio Colombia?
Au hawa wametishwa makusudi.
@LuckyJubz Si kwa ubaya . Jambo linalo nitesa ktk akili, nahisi nanyi pia.
Hivi tulikua mbali kiakili kwa kiasigani tulivyo wapinga wale walio itaka serikali irikebishe sheria ya binti kuolewa kutoka miaka 18 nakua miaka 16. Naona sasa kuwa walikua mbali kimaono.
@NMweusi85571@DannyKusaga Na mimi ndio swali nililotaka kumuuliza🤣.
kwa mfano wewe @NMweusi85571 ungefanyeje pele🤣🤣.
Hapohapo unasema baston hafamyi utoto kama ule. Utoto upi?
@daxMAGA@EsirEid Wewe uko huru kumchagua kiongozi? Uchagu upi ulikua huru hapa tz. Kwenye maelezo yako tolea mfano Oct29.
Yatupasa kufahamu utofaut kt ya Dini na Watu wa dini
Dini haimchafui mtu ila Mtu anaweza ichafua Dini
Mf. Dini haifundishi utapeli lakini mtu anaweza kutapeli kupitia Dini