@privaldinho Huyu dogo analindwa na mfumo na style ya uchezaji ya barca and/or Spain lakini ni mchezaji wa kawaida sana kama huamini siku acheze nje ya barca ndo utajua
@KibwanaEdgar Tulichopinga ni kupewa kombe mezani wakati walishindwa uwanjani na Senegal lakini haimaanishi kuwa Morocco sio timu bora ni bora sana lakini sio timu bora PEKEE Africa.
@MickyJnr__ It doesn't hurt they deserve the loss they had better players and every reason to press Canada and win but they kept doing back passes and square passes stupid approach
@TheChanzo Ni jambo ambalo sio la kujivunia lakini chanzo kikuu cha hayo hasa uko halmashauri ni kulipa watumishi pesa za madafu na UJIRAA mdogo ambao kusurvive tu ni ngumu kwa wakati uliopo. Wakati nyie mnalipana mishahara na posho za kutisha just kwa kukaa kuzungusha kiti na kugonga meza
@Semkae Hii ni kwel nimeangalia game zote za madogo lakini leo wamecheza chini ya uwezo wao sababu ya pressure za kisiasa wangewaacha watoto waenjoy soka tu
@king_kinya Hii ni kwel nimeangalia game zote za madogo lakini leo wamecheza chini ya uwezo wao sababu ya pressure za kisiasa wangewaacha watoto waenjoy soka tu
@SteveMchelsea21 Hii ni kwel nimeangalia game zote za madogo lakini leo wamecheza chini ya uwezo wao sababu ya pressure za kisiasa wangewaacha watoto waenjoy soka tu