@ally_eh Hivi umeona hoja yako uliyosema
Ni mfano mimi nije na mada ambayo unajua sio rahisi au simple hivo niiseme kwa hali ya kama ni rahisi sana
Hiyo ndio umefanya, watu wanapata pesa yes ila sio rahisi ivo,waambieni ukweli
@Its_Isack@TillahBlessed Area A hadi E imekuja mwishoni mwa 1970 baada ya CDA kuanzishwa 1978. Kwa sehemu kubwa mji ulikuwa determined na vitu viwili....Airport na main Railway station. Na ukifuatilia utaona makazi na mengine mengi yalielekezwa upande wa kaskazini mwa uwanja wa ndege