Kutumiwa nauli na hujafika geto hilo ni kosa la jinai kujipatia fedha kwa udanganyifu.
VITU VYA KUFANYA
1. Unaweza kutoa taarifa rasmi (ripoti) katika Kituo cha Polisi kilicho karibu nawe.
2. Kutoa ushahidi wa miamala na mawasiliano yote yaliyotumika kutuma nauli hiyo.
Nataman nitoe maoni yangu kwenye hiyo barua ya semaji la taifa kuhusu shirika la uingereza ila naona kabisa the next Ni #FreeMreno na vilio vitatawala kwenye ukoo wetu πππΏkila nikitype mafuta.
Kuna brother tumeenda kumpumzisha kwenye nyumba ya milele leo mpaka nikajiuuliza kwamba familia haitaki iwe inaona kaburi lake au n vpπ€·πΏββοΈ
Yani tumefika sehemu njia hairuhusu gari yoyote kupita tukatembea kwa miguu mwendo wa Dakik 50 mpaka kufika sehemu ya mazishi ambako unaambiwa ndo shamba lao la familia
Kuuliza unaambiwa wazee wake walizikwa huko so lazima naye azikwe huko aseeπ