Ulikuwa Unafahamu haya 👇🏿
1.Huwa Unatumia upande Mmoja Tu wa Pua Kuhema , Kama una mashaka Jaribu kuweka Kidole then pumua
2. Ulimi wako Una pumzika kwenye taya la Juu na Sio la Chini
3. Ukibadilishiwa Figo Ile Figo Mbovu Hawaitoi .
4. Ubongo wa Binadam Haufeel Maumivu surgeons wanaweza Kuoperate ukiwa Macho Bila Ganzi,
5. Kinga Yako ya Mwili haina Taarifa kwamba Una Macho ikipata hizo Taarifa Itakufanya Kipofu
6. Acid Iliyopo tumboni Kwako ni Strong kiasi Cha Kudissolve metal , Haifanyi Hivyo kwenye Tumbo kwasababu thick mucus lining iliyozizunguka Kuta za Tumbo.
Goba hii ya juzi kabisa……
2014 nilimpeleka mpwa wangu kuripoti form one Kinzudi Secondary School
Kipindi hicho gari za kwenda Goba zilikua zinapaki Tangi Bovu pale tena gari ya kusubiria, barabara ya Goba ilikua sio tuu ya vumbi ni makorongo sio poa…
Ngoja nikupe historia fupi ya Goba na hio kujipata…!
Goba kumetengenezwa lami kwenda mbezi na madale kipindi cha magufuli.
Pili goba mtaa wa kwanza kuendelea ni kingzud st then half London then kwa awadhi ndio goba center
Na haya yote hayana miaka 8.
Tatu wakat junction ya massana inaitwa samaki unajua?
Niambie ni usafiri gani ulikuwa unatumika kwenda goba hadi mpiji magoe😀
NICHANGIE kwa ufupi sanaaac.. Specifically kwako ! Japo sijajua mantiki ya kuanzisha hili
Waislamu wa/tunaamini kuwa Qur’an ni neno la Mungu (Allah) lililoteremshwa kwa Mtume Muhammad kupitia Malaika Jibril.
Kuhusu mchakato wa ufunuo na uhifadhi wa Qur’an, kuna hatua kuu ambazo Waislamu wanazikubali na kuziamini.
Kwanza Ufunuo wa Qur’an – Qur’an iliteremshwa kwa Mtume Muhammad (SAW) kwa kipindi cha miaka 23, Ilifunuliwa kidogo kidogo kwa mujibu wa matukio na mahitaji ya wakati huo.
Pili kuhifadhiwa kwa mdomo na maandish wakati wa uhai wa Mtume, masahaba wake waliihifadhi Qur’an kwa kukariri (hifdh) na kuiandika kwenye nyenzo kama ngozi, mifupa, na majani ya mitende.
Tatu ni kusanyiko wa kwanza – Baada ya kifo cha Mtume Muhammad (SAW), Khalifa wa Kwanza, Abu Bakr (RA), aliamuru Qur’an ikusanywe rasmi chini ya usimamizi wa Zaid bin Thabit (RA) kwa sababu baadhi ya mahafidh walikuwa wanaenda vitani na wengine walikuwa wanafariki vitani.
Mkusanyiko wa pili na uthibitishaji – Katika utawala wa Khalifa wa Tatu, Uthman bin Affan (RA), Qur’an ilinakiliwa kwa mujibu wa lahaja ya Kikureyshi na nakala rasmi zikatumwa kwenye maeneo tofauti ya Dola ya Kiislamu.
Tano na mwisho, Kusoma Qur'an na kuhifadhiwa Qur'an ni somo la lazima kwa kila muislam. Tuamrishwa tuirisishe vizazi na vizazi, kuanzia mtoto mdogo mpaka mzee. Juzu zote 30 zinapaswa kuwa kichwani 🗣️
Swali la msingi ni Je, Qur’an imebadilishwa?
Kwa imani ya Kiislamu, Qur’an haijabadilishwa tangu ilipoteremshwa.
Waislamu wa/tunaamini kuwa Allah mwenyewe ameilinda Qur’an na kwamba hakuna mabadiliko yoyote yaliyofanyika katika maandiko yake (Surah Al-Hijr 15:9).
Ushahidi wa Uhifadhi wa Qur’an
Hifdh (Kukariri kwa mdomo) – Mamilioni ya watu wameihifadhi Qur’an kwa mdomo kizazi baada ya kizazi na hakuna utofauti uliowahi kuwa noticed
Maandishi ya kale, kuna nakala za kale za Qur’an zilizogunduliwa, kama zile za Sanaa Manuscripts (Yemen), zinafanana na Qur’an ya sasa.
Ulinganisho wa riwaya tofauti tofautitofauti, tafsiri mbalimbali (qira’at) za Qur’an bado zinahifadhi muundo wa msingi bila tofauti za maana.
Kwa imani ya Kiislamu, Qur’an imebaki bila mabadiliko yoyote na inaendelea kuhifadhiwa kwa njia ya mdomo na maandishi bila kufanyiwa mabadiliko yoyote.
Hiki ndio sisi waislamu tuna/wanaamini haijalishi wametofautina katika itikadi na kamwe haitobadilika
Happy Taco Tuesday
@Iam_Alarm@Adventure_36 1st Week from 11/11/2024
J3 Geog Vs Bios 1
J4 B/Math Vs Civ
J5 Eng Vs Kisw
AL Bios 2A
IJ Chem 1 Vs Hist
Phyz 1 ipo J3 ya tarehe 18/11/2024 na prac 2A yake ipo J5 20/11/2024
Ifaham vizuri menstrual cycle ya mwanamke kujua
1.zipi siku salama,
2.kujua sku gani utapata mtoto wa kike
3.Siku gani utapata mtoto wa kiume,
4.Siku gani za hatari
5.Siku gani mwanamke anakua na ham ya mapenzi sanaa.
Thread(uzi) 👇