@rollymsouth Ana stress alichobakiza ni kuimba TU taarabu maana ameanza kuwa kama lokole mmbea umaarufu unakuja kutokana na nn ? Tufanye TU utafiti mdogo nani anajua nyimbo ya mwisho ya wakazi
Kipapatio kitamuuuu lakini hakimalizi hamu;kuku mzima ndo mambo yote unajipakulia TU minyama #shangazi#KatibaMpyaNiSasa Jana clubhouse umepigwa mwingi sana shukrani ziende kwa wote wenye Nia njema na miaka ijayo na sio uchaguza ujao
Dr Slaa: “Kwa sisi tunaoangalia miaka 300 mbele, tunaona Katiba Mpya ni muhimu kuliko Tume Huru”
Waliosema Tume Huru: #KatibaMpya sasa
Sisi: 👇🏽
Hapa najua niko na @IAMartin_ wewe je? 🤣
Nishasema kuamini waliopinga harakati juzi tu ngumu. Wasiwasi ndo akili! #TutaelewanaTu
J3 uje uchambue vizuri sorry kwa spurz wachambuzi wamesababisha yote ikichangiwa na benzema anapewa sifa kuliko Cr7 big mistake all one king Cr7 hello lads @atletienglish
CR7 ...thank you kwa kutuepusha na Banter leo .
✍Fred good game
✍Rashy ..maskini 🤔
✍Cavani anawaonesha watoto jinsi ya kujituma uwanjani
✍Pogba dakika 5 nzuri , dakika 5 unaweka mkono kichwani
✍Maguire muda mrefu kazuia vizuri, kujifunga beki yoyote anajifunga
@neemalugangira@TRATanzania Online business mara nyingi ni unconscious mind it's not realistic coz many of people operate this hawana hizo bidhaa wao ni wanatangaza tu bora ungesema walipie matangazo na sio kodi