Pole sana meena ally kwa kuzushiwa mtandaoni mungu atakusaidia kama alivomsaidia yesu akalisha watu zaidi ya elfu tano 5000 walipokuwa msibani kwa samaki watano na vipande viwili vya mkate,basi vivyo hivyo hata kwako atatenda
Ni masikitiko makubwa kama taifa kwa kumpoteza mpendwa wetu panya magawa aliyelitumikia taifa na ulimwengu katika kada ya unusaji na uteguaji wa mabomu..mungu ampe kauli thabiti