Top Tweets for #LetFreemanFree
Shahidi Denis Leo Urio hajui kama kabla ya yeye wapo mashahidi wengine waliowahi kufika Mahakamani.
Kwa namna kesi hii inavyoripotiwa na media, kwa mtu ambaye yupo huru na hayupo kizuizini, anakosaje kulijua hilo?
#LetFreemanFree #HeIsNotATerrorist
Mbowe sio gaidi #LetFreemanFree

Ikumbukwe huyu Msemwa alidai kuwa aliwapokea akina Adamoo na Ling'wenya Central Poloce Dar Agosti 7, 2020 tarehe ambayo Lembrus anadai sio kweli kwani Msemwa alikuwa Oysterbay Police Station wakati huo.
#MboweSioGaidi
#HeIsNotATerrorist
#LetFreemanFree
#Siku100ZaMboweGerezani
Mpaka sasa kila kielelezo kinachotolewa Mahakamani kinakuwa na kasoro za wazi za kisheria. Mashahidi wanasema uonho chini ya kiapo. #MboweSioGaidi #LetFreemanFree #HeIsNotATerrorist

Kwamba, DPP bado haoni umuhimu wa kuifuta hii kesi!? Shame on you! #HeIsNotATerrorist #LetFreemanFree.
wakili msomi @PKibatala Kuna taasisi itaathiri mwenendo wa kesi maana imeingilia moja kwa moja uhuru wa mahakama.
Mh @freemanmbowetz na wenzake 3 hawajaletwa Mahakamani,kutokana na changamoto ya usafiri wa gari la magereza.
#letfreemanfree
#MboweSioGaidi
#katibampyamovement
YEREMIA 31:13
"Maana nitageuza masikitiko yao kuwa furaha, nami nitawafariji na kuwafurahisha waache huzuni zao"
#katibampya #letfreemanfree

Kesi ya Kikatiba no. 21/2021ya Mwenyekiti wa @ChademaTz Mh @freemanmbowetz dhidi ya Serikali inatajwa leo mbele ya Jopo la Majaji watatu wa Mahakama Kuu ya Tanzania akipinga hatua ya kushtakiwa kwa makosa ya ugaidi kimyakimya bila kumtaarifu kuhusu mashtaka hayo
#letfreemanfree

Mama yake Freeman Mbowe anaongea kwa uchungu mkubwa! Serikali inafaidika nini kuleta simanzi kubwa kwa raia wake?
#HeIsNotATerrorist
#LetFreemanFree
"Laana hii ya uongo ikatembee hadi vizazi vya vitukuu wako"
#LetFreemanFree
#MboweSioGaidi
#MboweIsNotATerrorist

#UpdatesKesiYaMbowe
Kesi Inayomkabiri Mhe. @freemanmbowetz Ya Ugaidi Inaendeshwa Kwa Video Conference
Mwenyekiti Yupo Ukonga Gerezani.
Nadhani watawala wana Hofu baada ya Kuona Nguvu Ya Umma iliyopo hapa Mahakamani. #letfreemanfree #katibampya

@bbcswahili Wataelewa tu, ni suala la muda.
#MboweSioGaidi
#HeIsNotAterrorist
#LetFreemanFree
#TutaelewanaTu

IGP sirro ametusisitiza mara 3 tuende tukamuulize mwenyekiti wetu @freemanmbowetz juu ya makosa walio mashitaki nayo,Sisi tunaamini #mbowe sio gaidi wala mhujumu uchumi hivyo kesho 5/8/2021 tuendeni tukamuulize. #katibampya #letfreemanfree
Mawakili zaidi ya 386 kutoka pande zote za ๐น๐ฟ Wamethibitisha Kuungana na timu ya Mawakili wanaomtetea @freemanmbowetz Siku ya Tarehe 5/8/2021 katika Mahakama ya Kisutu
Wakili anayependa Haki na Utawala wa Sheria anakaribishwa Kuendelea Kujiandikisha #katibampya #letfreemanfree
Je Rais @SuluhuSamia huyu ndio gaidi na muhujumu uchumi? Leo IGP anaonya haki ya kikatiba? na Sheria ipo wazi,kwanini msiwape ulinzi hayo makundi? โdouble standardโ #katibampya #letfreemanfree
Jiji la Mwanza leo limetapakaa maneno โMbowe sio gaidi na katiba mpya sio ugaidiโ
#letfreemanfree #katibampyamovement

Last Seen Hashtags on Sotwe
incest family
Seen from Turkey
creampie
Seen from Puerto Rico
Rss_terrorists
Seen from United States
teenager()*****************
Seen from Philippines
nolimit teenage() filter:native_video
Seen from United Kingdom
เธเธณเธเธด
Seen from Thailand
nsfw #TheLoudHouse
Seen from Guatemala
92i
Seen from France
nolimit nolimit nolimit() +filter:native_video
Seen from Turkey
PetFashion
Seen from United States
Trends for you
Most Popular Users

Elon Musk 
@elonmusk
241M followers

Barack Obama 
@barackobama
119.2M followers

Cristiano Ronaldo 
@cristiano
112.2M followers

Donald J. Trump 
@realdonaldtrump
111.8M followers

Narendra Modi 
@narendramodi
107.1M followers

Rihanna 
@rihanna
98.1M followers

NASA 
@nasa
92.2M followers

Justin Bieber 
@justinbieber
91.3M followers

KATY PERRY 
@katyperry
88.6M followers

Taylor Swift 
@taylorswift13
82.5M followers

Lady Gaga 
@ladygaga
74M followers

Virat Kohli 
@imvkohli
71.3M followers

Kim Kardashian 
@kimkardashian
70.2M followers

YouTube 
@youtube
68.7M followers

Bill Gates 
@billgates
64.4M followers

Neymar Jr 
@neymarjr
64.2M followers

The Ellen Show
@theellenshow
62.4M followers

CNN 
@cnn
61.8M followers

Selena Gomez 
@selenagomez
61.7M followers

X 
@x
60.8M followers














