@privaldinho Acha janja janja shayo bana ,huyo kocha atoi game time kwa wengine na sijui kama anauwezo wa kumkuza mchezaji , kumbuka kipindi Cha nabi timu ilikuaje, kila player alikuwa moto kwasabab gan, just coz alikuwa anauwezo wa kumtoa mchezaji kutoka kiwango kimoja to kingine
@privaldinho Wew hata uongee vp kaka ila ukwel unaujua mwenyew,hao unaosema wazawa , nafasi hawapati kucheza, kocha Hana rotation ya players ndomna sub akiingia mtu hawez leta impact yyte , kwasabab hawana game time hawachezi wapo bench π
@Psiteshio1@Gisiggo@fbuyobe Inategemea kuku unafuga vipi kwaajili ya social status au in term of business,kila kaya wanafuga kuku sawa hizo kuku wanafuga ki plan gn?