Usisahau Unapopanga Matumizi Ya Mwezi Mzima, Sandals Huna 🔥
Lipia kabla mambo hayajawa mengi
Size: 40-45
Mazoezi - 25,000/=
Cont: https://t.co/C8dIKaBhV2
Popote Ulipo Tunatuma
Karibu Sana 🙏
Dear afande CDF.
Nianze kwa kutoa pongezi zangu kwako kwa kuongoza majeshi yetu ya ulinzi kwa utimamu na uadilifu mkubwa.
Sio siri, jeshi letu la wananchi siku zote limekuwa likiaminika kwenye missions mbalimbali za ulinzi wa amani chini ya miamvuli ya AU na UN
Nimeona niwashirikishe hili tangazo kwa wote mnaosumbuliwa na Vidonda vya tumbo, tatizo la tumbo kujaa gesi, mfumo mbovu wa mmeng'enyo wa chakula
Naweza kuwatangazia kuwa matatizo haya yatakuwa historia endapo tu victim atatumia Z- Health food supplement
Nini ni maajabu yake?
Swali moja la msingi kwa WAJUMBE wa CHADEMA ni hili , ikiwa utapewa pesa , usafiri , pombe na chakula wkt huu lakini ukuletewa pesa wakati wa uchaguzi wa serikali za Mitaa , Kijiji na Vitongoji , je hizo pesa sasa zinatoka wapi ? Na wanaotoa pesa wananunua kura kwa sababu gani kwa kazi isiyo hata na mshahara ? CHADEMA sio duka wala Bar . Wajumbe sikilizeni , hiki CHAMA kina damu za rafiki zenu , maumivu makubwa na mateso kwa watu wengi , msilaani maisha yenu kwa starehe na rushwa. Sasa basi wakileta pesa kula , kunywa halafu waadhibu ktk boksi la kura. Nyie sio Blue Band wakubebwa kama Maboksi. Upinzani ni tabia njema na sio rangi za nguo. Msiue matumaini ya Taifa kwa kushindwa kutofautisha tabia zetu na CCM.
Hivi wakuu
Hapo Daslama restaurant kali za bei za kizalendo kwenye vyakula na vinywaji zinazofaa kwa dates ni zipi majina yake?
Kama una experience ya bei tusaidie pia.