The official Twitter account of JMEGroup.
IG: @jme_group . Follow @jmebrands ๐๐๐ก๐ข For a latest Men and Women's Shoes.
The Brand Name to Trust.
Bidhaa zetu za Viatu ni Ngozi halisi ya Ngozi ambayo inazalishwa hapa nchini kwetu, sisi kama @jmebrands tunakuahidi mengi mazuri kupita Nembo yetu ya JME utaendelea kupata bidhaa nzuri na zisizo na shaka. #Madeintanzania#jmebrands
Ubora wa bidhaa zetu bila kusahau ukalimu na uaminifu katika kukupatia huduma wewe ndugu Mteja wetu ni moja ya vitu tunavyotamani kukufanyia wakati wote. #jme_group#jmebrands
Sisi kama @JME_Group ahadi yetu kwako Mteja wetu ni kuhakikisha unapata bidhaa bora kabisa za Ngozi kuanzia Viatu vya Shule, Viatu vya Ofisini, Viatu vya Harusi, Mikutano, n.k vikiwa vimetengenezwa na sisi wenyewe kupitia @jmebrands ambayo ni ya Watanzania. #jmebrands#Ubora
Heri ya kumbukumbu ya siku yako ya kuzaliwa Kiongozi @Kilua_Musa Mwenyezi Mungu akujari afya, uzima na baraka katika kuzisimamia Ofisi zetu @jmebrands , @TheEACelebrity nk.๐๐๐น๐ฟ
Kuna bidhaa ya Viatu unahitaji? Usijari, tunavyo Viatu vya Shule vya aina mbalimbali(vya kamba na bacol), pia Viatu vya Ofisini, Harusi na mitoko mbalimbali navyo vipo bila kusahau Sendo za aina tofauti tofauti zinapatikana kwetu @jmebrands karibu sana!
Karibu katika ukurasa rasmi wa The East African Celebrity ambao utawatambua watu mbalimbali mashuhuri na shughuri zao kupitia kwenye Elimu, Siasa, Biashara, Muziki, Michezo nk. Karibu sana!๐๐น๐ฟ๐ฐ๐ช๐บ๐ฌ๐ท๐ผ๐ง๐ฎ
Usiwaze tena kuwa ni wapi utapata Viatu vya Shule, Ofisini, Sendo, Mikanda nk kwani tunavyo vyote hivyo na tena vikiwa ni vya ngozi halisi ya kitanzania na vinatengenezwa na Kampuni ya kizarendo ya kabisa. Karibu sana! @MsigwaGerson@venusnyota@IdrisSultan@mkandamizaji ๐น๐ฟ
Uaminifu, Uaminifu, Uaminifu ni kitu cha muhimu sana kuwa nacho mfanyabiashara ambaye unatamani kufika mbali kibiashara lakini pia kupata wateja wapya ambao wataletwa na wateja wako unaowahudumia mara kwa mara bidhaa au huduma.
Jitahidi kuwa na wafanyakazi waaminifu na wenye lugha nzuri kwa wateja wako na hakikisha hawapandishi bei zaidi ya zile zilizowekwa na ofisi. ~Musa Kilua
Ifanye biashara yako ijitangaze yenyewe kwa watu wanakuja kupata huduma au bidhaa yako na wao wenyewe kwenda kuzungumza mazuri kuhusu biashara yako.~Musa Kilua
Uoungozi na wafanyakazi wote wa JM Enterprises Group Limited (JMEGroup) unakutakia heri ya kumbukumbu ya siku ya kuzaliwa kwako. Mwenyezi Mungu akujalie afya na baraka kwako kiongozi wetu @Kilua_Musa ๐๐
Uongozi na wafanyakazi wote wa JM Enterprises Group Limited (JMEGroup) wanawatakia Waislamu wote heri ya #EidMubarak . Tusheherekee kwa furaha na upendo!
Tumekuandalia Viatu vya Shule, Viatu vya Maofisini, Viatu vya Wazi(Sendo), Viatu vya Kazini( Safety Boots), Viatu vya Kike vya aina na rangi mbalimbali kwa ajiri yako wewe mteja wetu. Pitia @jmebrands sasa kujionea Viatu vile unavyohitaji wewe na kuweka oda yako mapema kabisa.