@OchiengCharlee@YoungAfricansSC Eng. Sio jina ila ni taji la kitaaluma (Professional title) linalomtambulisha mhusika kama Mhandisi aliesajiliwa na Bodi ya Wahandisi. Dogo ni msomi
@Djmsekwa1@mshambuliaji Acha dhihaka na imani za watu, wanafungua kwa kufuata mwandamo wa mwezi wa eneo lao ni waislam wanaoamini hivyo sio CCM wala CDM
@jemedarisaid Jwaneng Galaxy walionekana wabovu hivihivi wakiwa kwao na wakapoteza mechi kila mtu alijua Smba anafuzu matokeo yake akaduwazwa hapahapa. Mechi bado sana
@HerryMjema@CatherineRuge Hatari zaidi ni nyumba ya Ibada kumhifadhi mtu anaetuhumiwa kwa uhalifu. Makanisa na Misikiti isitumike kama Kinga kwa watuhumiwa