Leo saa 12 Jioni.Nimepokea taarifa ya Wakili Msomi Mwandamizi Mpale Kaba Mpoki amepigiwa simu na OCCID wa Wilaya ya Kipolisi Kawe Makao Makuu Mbweni Kuwa anahitajika kwenda,
MKM ni Senior citizen tutamlinda kwa wivu mkubwa sana! Toka enzi za Mtikila bado tuko naye! @MpaleMpoki
Anaitwa Musa onesmo, Mwenyekiti wa Chadema Mkoa wa Simiyu.
Alitekwa tangu 28/10/25, baada ya ndugu na viongozi wa Chadema kufuatilia kwa kina wakaambiwa alitolewa alikokuwa anateswa na kupelekwa kituo cha police Buselesele Geita.
PoliCCM 09122025 code 💪
👉 @IkindaKani11826
Huyu ndio mwanamke jasiri na shupavu ambaye uzalendo wake katika taifa la haki hauwezi kupimika. @MariaSTsehai Mungu akuhifadhi uione nchi uliyoipambania Kwa Hali na Mali.
Fikiria hii ni misiba iliyoenda Moshi.
Coaster zaidi ya 80 zimebeba majeneza jioni hii ziko pale Njiapanda ya Himo.
Jana Coaster zaidi ya 70 zilibeba majeneza, na juzi pia. Tangu October 29 misiba iliyopelekwa Moshi na mingi sana. Hapo hatujahesabu misiba iliyoenda mikoa mingine, na bado zile maiti ambazo hazijapatikana hadi sasa.
Halafu bila aibu mtu anaropoka eti picha ni za kutengenezwa. Hivi hawa watu wana vizazi kweli? Wangejisikiaje watoto wao ndio wangekua wameuawa halafu waambiwe maneno hayo?
Tunahitaji UN iingilie kati ili uchunguzi huru ufanyike kujua idadi kamili ya waliouawa na wahusika wachukuliwe hatua.
This is too much 😭😭
@MalisaGJ_
BREAKING NEWS.🚨
Kamishna Mkuu wa Haki za Binadamu wa Umoja wa Mataifa, Volker Türk, anataka kufanyika uchunguzi wa haraka kuhusu mauaji na ukiukwaji wa haki unaohusishwa na uchaguzi wa Tanzania wa Oktoba 29.
WANANGU KUMEANZA KUCHANGAMKA.
REPOST 500
TUTAKUWEPO🫵🏾😎
MIPANGO YA CCM ILIVYOMWAGA DAMU YA JOSSELIN MAFURU.
Ilikuwa ni Jumatano ya Oktoba 29, Josselin Mafuru akiwa barabarani na watoto wake gari yake ilisimamishwa, Njemba zenye sura ngumu na Bunduki hatari za Kivita walitoa amri kumtaka asimamishe gari.
WAKASHUTI😭
#TheGreateComeBack
‼️🚨ANATAFUTWA‼️
Junior Justin Mowo ameonekana mara ya mwisho Oktoba 29
Tusaidiane kama kuna mtu ana taarifa yake anicheki DM 🙏🏽
Tragic! So many people looking for their loved ones!
#TanzaniaMassacre#SamiaMustGo#D9
Tunahitaji SAINI 20,000 kabla ya saa 6 usiku. Mpaka sasa tumepata 16,420. Naomba usaini na Share kwa wengine chap chap. Usilale kabla hujasaini hii ni Muhimu kwaajili ya ndugu zetu waliouliwa KIKATILI NA SAMIA.
REPOST 500
https://t.co/hMj55Mczjm
Mange, ilikuwa asubuhi tu tarehe 31/10/2025 mtaa wa Bomani, raia hawana hili wala lile wakijadili yaliyotokea siku moja baada ya uchaguzi katika Manispaa ya Geita.
Ndipo gari mbili zikapita zikiongozana moja ya RPC Geita ilikuwa mbele LC300 vioo vilifingwa mpaka juu, ya nyuma V8 vioo vilikuwa chini na bunduki zilielekezwa nje na kuanza kupiga risasi kwa raia ambao hawakuwa katika vurugu wala maandamano ya aina yoyote...risasi ilipata huyu anaitwa Alex na kupoteza maisha hapo hapo.
Baada ya masaa mengi kupita na doria za hapa na pale zikiendelea, ilikuja hio gari hapo majira ya saa 7:21 mchana na kuubeba huo mwili na kuupeleka kusikojulikana.
Leo tarehe 11 Novemba 2025 Mhe. John Heche (Makamu Mwenyekiti Bara) Mhe. Amani Golugwa (Naibu Katibu Mkuu Bara) Mhe. Godbless Lema (Mjumbe wa Kamati Kuu na Mhe. Boniface Jacob (Mwenyekiti Kanda ya Pwani) wameripoti Central Polisi Dar es salaam ikiwa ni takwa la dhamana kutoka Jeshi la Polisi baada ya Jeshi hilo kuwakamata kila mmoja kutoka maeneo tofauti tofauti.
VIDEO:
Makamu Mwenyekiti wa chama cha Demokrasia na Maendeleo @ChademaTZ2 Bara John Wegesa Heche @HecheJohn amewatoa wasiwasi waliokuwa wakiulizia juu ya hali yake ya kiafya akieleza kuwa kwa sasa hali yake inaendelea vizuri
"ninaendelea vizuri namshukuru Mungu mengine tutazungumza" amejibu kwa ufupi alipoulizwa.
Ikumbukwe toka alipokuwa amekamatwa Oktoba 22, 2025 kumekuwa na taarifa nyingi zikienezwa hasa kupitia mitandao ya kijamii juu ya 'hali ya afya ya Heche kutokuwa sawa'
Heche ameachiwa kwa dhamana jana Novemba 10, 2025 na kutakiwa kuripoti Kituo cha Polisi Kati(central) Dar Es Salaam. Baada ya kuripoti leo ametakiwa kuripoti tena alhamis Novemba 13, 2025.
@HildaNewton21@BabaGiann Paka mwenye akili hauwi panya mwenye mimba.
Samia anapouwa vijana, anatarajia apate wapi nguvu kazi, apate wapi walipa kodi?
Samia ni mpumbavu wa karne.