@esteramosbulaya Pigania USAWA wa haki za Binadamu angalau upate THAWABU kwa mwenyezi mungu, Japo CCM 99.9% hawaamini katika MUNGU, isipokua waganga wa kienyeji.
@barakascotts@EsirEid Jamaa anafurahiaga sana WANAHARAKATI wakikosea njia Atachapisha machapisho hata ishirini kwa siku , ila hawezi kuchapisha ya kulaani watekaji naserikali yake ya KIZIMKAZI
@EsirEid Vipi suala lako la MARIDHIANO ulilokua unalipambania limefikia wapi ?
Je umeona mtazamo wa LISU unashabihiano na wakwako au unashabihiana na WANAHARAKATI
@mwanakijiji2@zittokabwe@AFCONPAMOJA27@Tanfootball Huyo GSM anaingiaje hapo
SANDALAND ni mrundi wa kigoma
ZITTO ni mrundi wa kigoma
Yaani both team to score, mrundi anatetea ugali wa MBURUNDI mwenzake, ZITTO hapayuki ovyo pasipo na sababu za kimaslahi
@Eng_Matarra Japhet huyu mnayemuita TAJIRI WA KIHAYA(Issa) ni KIZIMKAZI
Anadai MITANDAO haina IMPACT while CCM wapo kwenye hali tete kutokana na HAMASA ya SOCIAL NETWORK kwenye ishu ya OCT 29.
hadi leo twitter imefungiwa na GAVO kutokana na hofu ya IMPACT yake.
@GodwinGeofrey5 @EsirEid Wasiomuelewa huyu ISSA wameisha,
Anadai mitandao haina impact, lakini Oct 29 mitandao ndo imewaingiza maelfu ya watanzania barabarani
@EsirEid " CHADEMA, kama kuna njia yoyote ya kisheria, kisiasa na kidiplomasia ya kuhakikisha Lissu anapata haki na uhuru wake kwa wakati, itumike sasa."
Kwahiyo mahakamani hawafanyi njia za kisheria?? ๐ ๐คฃ
Una tatizo ila wanaokuamini ndiyo wana shida ya akili.
Mbona mnafosi MARIDHIAN
@EsirEid Oct 29, ulifanya nini la maana kuwazidi kina MANGE unaowaita wanaharakati.
Uliijuza dunia juu ya video na picha za mauaji kumzidi MANGE?
Je umewahi kuripoti juu ya mauaji ya Oct 29 hata ubalozi mdogo wa EU, US
Unajua kazi aliyoifanya MANGE kuhusu uminywaji wa haki za binadam TZ?
@kwamekivaisi Unijibu, baada ya tuhuma za maboss wako kupiga pesa kwa mujibu wa ripoti ya CAG. JE Uliwahi kuweka chapisho la kulaani
Uliwahi kulaani mauaji ya Oct 29, boss
Uliwahi kulalamikia mfumo mbovu wa tume ya uchaguzi ?