Proper illustration ya askari mpumbavu aliyempiga Dkt Conrad Agonza. Watoto hawana habari, mke wake ameshika tama anashangaa: “hii ndiyo kazi anafanya?”
@EngMapundajr Kwa zambia huu utaratibu ni zaidi ya miaka 18+ je wana barabara bora sana kuzidi tanzania?
Kwa uganda nao hivyo hivyo kwa safari tena nje ya nchi wana miundombinu bora sana?
Burundi nao hivyo safari za usiku hao wana barabara zipi bora?
Acha kukariri
Mbunge
anakunja mshahara plus posho,
milio kama 12-18 💴 hivi
kila mwisho wa mwezi!!
Tufanye 12M kadirio la chini!!
So kwa mwaka anakunja 144M.
Kwa term moko (5yrs) muhula mmoja
anakunja 720M (Bilioni kasorobo)
Whaaaaaao!!
Ukiwa mbunge kwa miaka 30 unatengeneza 4B+
Kumbuka hapo kuna mpiga kura wake ana umri wa miaka 35 na hajawahi kushika hata laki tatu tu ya pamoja KMMK Walahi🥹
(I’m sorry)
Again, mpiga kura huyo hana maji, hana umeme, na akiumwa hana bima ya afya!!
Mbunge huyo ana kila kitu sio shida zake!!
Na kwa kipindi chote hicho anaweza asiwe tu mbunge, akapewa na uwaziri……
means mshahara uta-double!!
Hapo sio tena 12M monthly
So kwa miaka 30 mtu anatengeneza 6B plus!! Mixer fursa shindili, yeye na familia yake na ukoo ikimpendeza!!
Lakini jimboni kwake ukifika hakuna chochote kilichobadilika, shida,ufukara,umasikini,changamoto milioni!!
Na hii ndio legacy wanayoipambania, not otherwise!!
Ndio maana mtu huyu anakuwa tayari kukupoteza ikibidi kukuua
ili ku-secure bag lake 💰
Kuna Shacman na Shacman South Africa na SHACMAN za Southgate na Time Trucking hizi Moto mkali sana Chuma inateleza empty kumbe ina tani 35 ya kwendw Durban Kwazulu Natal