@zackyblessed Sijui kwa kweli, ila kuna dada alikuwa ananena kwa hizo lugha mwisho wa siku aligundulika ni mjamzito na hajaolewa. Nafikiri hiyo ni kipaji tuu km kuimba nk, na sii kipimo Cha usafi wa moyo
@joeselasini 1. Yosefu tunakutolea sifa na heshima, wana wako elekea uwe kwetu mjima
Kiitikio: Eewe mlinzi mwaminifu tunaomba kwako, mlinde Baba Mtakatifu na kanisa lako x 2.
2. Yesu amekuteua kuwa mlinzi wake, Heri gani unajua kwita Baba yake, Eewe mlinzi mwaminifu.......................