Una mpango wa kujiajili katika sekta ya bustani?
Nakusogezea hii Bush cutter & grass trimmer toka crown tools, ikiwa na tanki ya mafuta.
Pia unaweza wekeza kwa ajili ya kukodisha.
Tsh.470,000
Unafahamu pambo la console table na faida zake
1.huongeza uzuri wa nyumba ionekane nadhifu na ya kisasa
2.hutumika kuhifadhia vitu vidogo
3.huokoa nafasi
Console table si meza ya kawaida tu ni kipande cha thamani kinacholeta uzuri,mpangilio,hadhi ya nyumba
0710 398 946
Kama unataka kuanzisha home library nicheki
Nikupe vitabu kwa affordable price yaani nakujazia kabati zima tena vitabu muhimu tu.
Pia kama unataka desk lamp ya kusomea kama hii zipo pcs 7 .
0752750830
@MrDepalitto9 Yani uweke 93000/= ili upate 7000/=then leseni ya biashara, kodi ya pango, ushuru wa huduma, ushuru wa usafi, umeme, TRA, fire, leseni kutoka TFDA. Oyaa! biashara kichaa hiyo, tujitahidi kuwa na mawazo tofauti
@EngMapundajr Anko kuna watu wanaamini rift ikukute njani ukiwa unatembea kwenda ulikokua unaenda, nisawa na maderevatu lazima usotee u day worker( deiwaka) ndounakuta unapata chuma yako
Hii kwa wale wasiopenda mambo mengi wanataka sebule tulivu
Basi tupe vipimo vyako tukufanyie kitu kizuri hapo sebuleni
Gharama huanzia
350,000- 500,000
itategemea pia na design unayotaka
Call/what's app 0710 398 946
Karibuni sana Ubungo Msewe
Utaratibu mpya ofisini
Ukitaka simu Kuanzia Iphone X hadi 13 natuma simu ikifika ndio utalipia
Utalipa tu bei ya usafiri, mzigo utalipia ukifika
Wako mtiifu
Cowwbama
0685292370
Fallacyistore
@MarekaMalili@iamFallacy@MiriamMkanaka@Rakeem0101
@JinoUkucha Anzia mazingira ulipo, jifunze kwanza kwenye mazingira yanayokuzunguka wafugaji wanamahitajigani na nimahitajigani ambayo wewe unaweza kuwapatia hiyo itakupa pakuanzia na ghalama za maisha kwaupandewako hazitakua sawa ukilinganisha na sehemu ambayo utakua mgeni kabisa.
@JinoUkucha Nadhalia nyengine zakiwaki sana ivi unataka kusema huo mkoa husika unakungoja wewe ili ukafungue agrovet, usijekuta hata hapo ulipo ikitokea umefungua huwezi kutosheleza mahitaji , sembuse uende mazingira mapya ambayo huna hata experience nako wala purchasing power yao huijui
Kwa wenzetu hili tunda ni green gold. Huko Asia eka moja (miti 64-70, spacing 8mx8m) mkulima anaingiza sawia ya Tshs 10M kwa mwaka. Ni vumilivu sn. Hili tunda utawaacha wajukuu wanavuna. Utotoni nilitishwa nikikanyaga ganda lake nitapata matende. Uongo mtupu.
@Mwinshehe07 Kama umeandika ili upate maokoto ya elon ni sawa ila kiuhalisia vijana wengi wako kwenye sekta binafsi ambazo ziko insecure kuhusu kesho yake, nibora uwekeze kwenye kitu hata ikitokea biashara imeyumba unabakia na pakushika
@Adv_innocent Nikwanini kila mtu anawaza kufanya biashara ambazo nikama unakua mtumwa kutimiza malengo ya mtu mwengine? Kwani haiwezekani ukawa na hiyo let say 5M ukawa na ng'ombe wa maziwa(mgodi unaotembea) ukipata 10L asubui then jioni upate 15L. Shida tunapenda kuonekana smart with nothing