Tofaut ya Mashabiki wa Yanga na Simba, Mashabiki wa Yanga wanatamba kwamba timu zilizoshindan na Yanga zijiandae kisaikolojia kwa watakachokutana nacho msimu huu, mashabiki wa Simba wanaitambia Yanga pekee kwamba wakikutana utafikir msimu mzima wanacheza na Yanga pekee.
Let's go.
@Mzeewajambia Unaliwa nyuma, ndo mambo ya kutuambia, unaacha kutueleza Sheria, kanuni na taratibu zilizofanya mchezo uahirishe unaongea ujinga, kutafuta tu watu ya roho, mdomo kama mkundu.
Hakuna asiyejua Bodi ya ligi na Tff walikosea kuahirisha mchezo no 184 wa Yanga vs Simba kwa sababu zisizo za kikanuni baada ya Simba kugomea mchezo, hivyo ikiwa haki inatafutwa Yanga mechi ichezwe tu watu wapate burudani. Imani yangu mpaka Darby Yanga atakua anaongoza kwa 3+pts.
Kauli aliyotoa Ahmed Ally jana kuhusu kubeba mbuzi na wazee wafupi jana angelisema Alli Kamwe angeshambuliwa na wachambuzi wajinga wajinga kama yule mchambuzi CEO na mwenzie mwenye komwe kama kirungu. Yanga Sc inachukiwa kutokana na uongozi imara usionunua wachambuzi wa mchongo..
@privaldinho Sheria ikikuta wewe na hatia ndo utajua kuwa busara nayo ni mhimu na utaiomba hiyo busara, ila pale penye makosa watu watambue tu kuwa wamekosea na wakil ila sio kujiona wao ndo wako sahih wakati wamekosea. TFF na TPLB wamekosea ila hawataki kukir makosa acha mvua inyeshe tujue..
Kama kweli Ally Shaban Kamwe atafungiwa basi soka letu litakua na chuki na mwendelezo huu huu kila kiongozi wa TFF atakayeongoza kipindi hizo awe wa Yanga au Simba basi mpinzani lazima awe na vipindi vigumu kwenye soka na naimani baada ya Kalia anaefuata atakuja kijani na njano..