Nimeangalia interview ya Goodluck Gozbert. Sad. Anahitaji msaada wa afya ya akili, yawezekana kuna mengine ya kiroho, ila hili la afya ya akili lisipuuziwe.
Kama tusivyosahau uhusika wetu tunapofanikiwa, vivyo hivyo tuukumbuke tunapoanguka. Tuwajibike. Tuache kutafuta wa kulaumu.
@cindaramadhan@MarekaMalili Hii kaka mimi nilipatwa na kikohozi hakiponi, Madonda mdomoni, ukiamuaka unatamani kula pekee yako, yaan kila kitu ni kigumu. Acheni hii kitu kuishinda ni wewe mwenyewe, huwezi kusikia ushauri wa watu.
@MarekaMalili Really depression lazima ikufanye mbaya tena ikifika na kwenye issue za uchawi you are finished. Kuna ile umeshinda siku nzima hujala alafu njaa huisikii.
@PresenterNoah Hivi unajua maana ya chakula kibiblia @PresenterNoah
YESU alisema mimi ndimi Chakula ya Kweli na Uzima. Tunaposema chakula sio hizi physically. Kama mtu anaweza akajiunganisha na madhabahu mengine aidha kwa kuamini au kutii madhabahu hiyo huyo tayari lazima apokee.
NM-AIST successfully hosted the 4th Industrial Advisory Committee (IAC) meeting, focusing on enhancing IAC roles to support its initiatives. #IACMeeting#NMAIST
There are at least 4 types of wealth:
1. Financial wealth (money)
2. Social wealth (status)
3. Time wealth (freedom)
4. Physical wealth (health)
Be wary of jobs that lure you in with 1 and 2, but rob you of 3 and 4. —James Clear
5. Spiritual wealth (peaceful mind)