Leo ni ufunguzi Rasmi wa maonyesho ya wiki ya Kitaifa ya Ubunifu wa Teknolojia Tanzania ambayo yameratibiwa na @wizara_elimuTz na mgeni rasmi ni Mhe Othuman Masoud makamu wa kwanza wa Rais Zanzibar.
#Makisatu2022#UfunguziWaWikiYaUbunifuTanzania (WUTz)
Hii ni wiki ya kuwakutanisha wabunifu na wadau mbalimbali kutoka taasisi binafsi na za serikali,nawe pia ni mdau.
Hakuna kiingilio
#Ubunifukwamaendeleoendelevu#Makisatu2022
As a tech & innovation enthusiast who continues to advocate for innovation in solving Africa's challenges, we are excited to have Jumanne Mtambalike CEO, Sahara Ventures as our Guest Speaker
#InnovationWeekTz2022#InnovationForSustainableDevelopment
Wiki ya Ubunifu Tanzania imeanza rasmi leo tarehe 16th May 2022 katika uwanja wa jamhuri jijini Dodoma. Karibu tushuhudie bunifu kutoka kwa wabunifu mbalimbali Nchini Tanzania.
#Ubunifukwamaendeleoendelevu#Makisatu2022
Hatimaye tumeianza rasmi wiki ya kitaifa ya ubunifu, leo tarehe 16may hapa katika uwanja wa Jamhuri jijini Dodoma.
Share na kwa wengine wengi ili tuungane pamoja katika kujifunza. Karibu sana
#UbunifuKwaMaendeleoEndelevu#Makisatu2022@wizara_elimuTz
Kama uko Dodoma, Karibu viwanja vya JK CONVENTION CENTER ndani ya wiki ya Ubunifu ambapo sisi @lai_agency tumeandaa mjadala wa namna wabunifu wazawa wanashiriki kwenye kupanga na kutekeleza mipango miji kwa kuzingatia tekinolojia na mitindo ya majiji ya kisasa.
#Makisatu2022
Karibu katika Mjadala Wiki ya Ubunifu 2022 viwanja vya ukumbi wa mikutano wa Jakaya Kikwete tarehe 17 Mei, saa 3 asubuhi - 6 mchana ulioandaliwa na Lai Marketing Agency
#Makisatu2022#UbunifuKwaMaendeleoEndelevu.
Event: Innovation Exhibition Week Tanzania 2022
Topic: Dodoma development and the smart City agenda through co-creation
Date: 17th May 2022
Time: 9:00am - 12:00 pm
Venue: Jakaya Kikwete Convention Centre Grounds
Organizer: @Lai_Agency#Makisatu2022
Ufunguzi wa wiki ya kitaifa ya ubunifu siku ya kesho tarehe 16may wenye kauli mbiu #UbunifukwaMaendeleoEndelevu Utaongozwa na makamu wa kwanza wa Rais Zanzibar MHE.OTHMAN MASOUD OTHMAN.
Usikubali kupitwa na hii fursa mdau.
#Makisatu2022@wizara_elimuTz
Kilele cha wiki ya ubunifu Tanzania ndani ya jiji la Dodoma tayari yamepamba moto,jitahidi usikose hii na kauli mbiu yake ni “UBUNIFU KWA MAENDELEO ENDELEVU”.
#Makisatu2022
If you're looking for a camera crew in Dodoma or anywhere in Tanzania, we provide outstanding video production services. We are very experienced with documentaries, commercial, corporate films and personal events.
Nimegundua haya juu ya vijana wanaotamani kua Freelancer on @Upwork kama @mafolebaraka wanachangamoto namna ya kuset profile zao hivyo kama unataka kujifunza just DM nitakutumia link,
Skills za Copywriting unazozipata kwa @NyandaAmosi unaweza ziuza @Upwork