@iamdamiano22 Mtengenezee mikeka 5 option tofauti odds 100+ wikiend hii atie kila mkeka stake buku 2 trust me kwa uwezo wako wakuchambua games mmoja au miwili atapata kitu
@ShadrackJames17 @MrDepalitto7 Kupost humu kuna faida pia na hasara faida yake huenda akapata maelekezo sahihi kwa mtu ambae labda ashawahi pata huo ugonjwa then akapona kwa namna flani basi atatoa ushuhuda wake then kwenda kwa daktari ni best option pia โ