@Psiteshio1 Ni nadharia tu, wengine wakiacha ajira mapema wanafanikiwa haraka zaidi wengine wakitoka kwenye ajira wanaanguka kabisa. Wengine wakifukuzwa Ndio Milango ya Kheri na Baraka inafunguka, Kuacha ajira au kutoacha ajira ni hesabu binafsi kulingana na maamuzi na utayari wa nafsi