@Roma_Mkatoliki Kwa case ya kwa mwamposa I strongly disagree. Why! Shemeji yenu ndipo anaposali na hua Katika kila jambo liwe family matters au individual bado akikosa signature yangu and achana nalo. Na hata kwa nisiyoyajua bado ananiambia na kuomba advice
@Mwanahalisitz Mimi labda niwe mkweli tuuu. Kuna baadhi ya taasisi za dini sio tu waziri hawezi kuzifuta bali hata Jamhuri haina uwezo wa kuzifuta . Ni rahisi leo hii kuifuta CCM kuliko kuifuta Anglican, Ni rahisi kuifuta mipaka ya nchi Nembo na mamlaka za JMT kuliko kuifuta KKKT ,Islam na RC