@millardayo Ukiwa unachukuw mkataba kwa ajili ya biashara huwa kuna kubwa na loan insurance pale ambapo utafariki au itakuwa incapable (mlemavu,ungonjwa wa akili na nk) ili familia isisumbiliwe inapotokea changamoto hapa imekuaje
@MsigwaGerson Hakukua na uchaguzi mwaka Jana huo ndio ukweli mchungu na ndio chanzo Cha vurugu watanzania walinyimwa haki ya kuchagua kiongozi wanaemtaka na hata waliposusia kwenda kupiga kura wakasaidiwa kupiga kura na wasimamizi wa vituo .... Rudisheni Amani kwa watanzania
@CAF_Media If it was Morocco forfeited the game they may still be champions shame on you since beginning of tournament we saw how you prepaired them to became champions but God decided way
@millardayo Kwani angefungwa miaka mitano isingetosha kumpa fundisho mnapoteza nguvu kazi za taifa kwa Sheria kandamizi kwa wananchi wasio na kipato kubwa ( maskini) ilihali kuna watu wanahujumu uchumi kwa mabillion ya fedha na wapo uraiani wanapeta #nanikaturoga