@YoungAfricansSC Katika mambo makubwa yaheshima mtafanya msimu huu Yanga basi ni kuchukua ubingwa ,ni msimu mgumu na challenge ziko nyingi ,hizi game 5 tuwe fighters kwa kila mechi iwe fainali.
@Eagleseye02@IamGabby_01 Daaaah ๐ ๐ sasa hapo unachomokaje ? Mtu kaweka nyama huko hapo family unakua hata huikumbuki ,sema wanaume MUNGU atusaidie sana