Askari akifanya jinai wkt wa upelelezi,kutafuta ushahidi, undercover operations akiwa anazuia uhalifu akatenda uhalifu,atakuwa na kinga ya kushitakiwa.Akikupiga,akikutia ulemavu,akiua hatakuwa na hatia Rais unaunda tume kuchunguza Polisi wkt mnataka badili sheria ?
Huyu ndo Kiongozi wa Kundi Erick Kashenyi anakaa Dar es salaam Vingunguti ndo ana engineer njama za kuwadhuru Viongozi wa CHADEMA, hakikisha Tunawapa Ulinzi maana hata Tan Polisi hawaaminiki hata kidogo,
Huyu ni mzaliwa wa Tanzania japo wazazi wake wote walitokea Burundi
Rais wa Zambia Hakainde Hichilema, anatekeleza ahadi yake kuwa wanandoa wanaofanya kazi Serikalini hawatatenganishwa kwa mmoja wao kupewa uhamisho, na kwa wale ambao tayari walikwisha hamishwa sasa wanarudishwa maeneo ambayo wenza wao wanaishi. Lengo ni kujenga familia bora.
@millardayo Lukuvi atakuwa naibu waziri mkuu kama alivyokuwa Mrema enzi za mwinyi. Hawa wazanzibari wanatafsiri katiba backward kama inavyoandikwa kuruani๐ญ