@DullahTheking2 Amepambana kwenye maisha, kaanguka mara nyingi. Muda mwingine kaumia lakini hakukata tamaa, wakati mwingine amefanya maamuzi ya kujiumiza lakini akajikongoja na kusimama tena. Bado anajipa moyo kwa kuangalia alikotoka hivyo anasimama imara na kuendelea kupambana.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa pamoja na ujumbe aliombatana nao kwenye mazungumzo na Spika wa Bunge la Jamhuri ya Watu wa China Mhe. Li Zhanshu Beijing nchini China. @venusnyota
@MshauriSerikali @kalyndaofficial @Stingbettle @fundimitamboGk @Big0047@LevinaKundi@mafolebaraka HAKUNA PESA ZA BURE
ILI UFANYE NETWORK MARKETING CHAGUA KAMPUNI SAHIHI KAMPUNI ZA KUWEKA HELA UPATR HELA MARA NYINGI SIO SAHIHI SEMA WABONGO KITONGA SANA UNGANA MANI NIKUFUNDISHE KAMPUNI SAHIHI YA KUWEKEZA NA KUPATA FAIDA ZAID YA LAKI 3 KWA WIKI
Zambia wana Laptop zao zinaitwa NEO, Rwanda wana Simu zao zinaitwa MARA, Uganda wana Simu zao zinaitwa SIMI, Kenya wana Laptop zao zinaitwa TAIFA, Tanzania kuna nini ?