@Sativa255 Wapemba kibao wauza simu kkoo wengine wajenga majumba kkoo kwani uongo huo kamavipi warudi kwao na wakwetu warudi bara kila mtu aishi kwao. Mbona bunge letu hatuwasemi vibaya wazanzi
@PolycarpMDM Nilikuwepo kwenye hii train walitudanganya tunapishana na train na baadae tukakaa masaa mawili tumeanza safari saa11 na kufika saa9 mchana