@IreneMbita@ClubMagufuli Hii Ndio sababu ya ccm na serikali yenu mnabahatisha, Kwa sababu Hawa wakurugenzi na DEDS Ndio pumzi zenu, ila mwisho wake upo karibu
@AbmeleckLuwumba@ClubMagufuli@bavicha_taifa@JonMrema We hujui unaongea nini, hujui maana ya mikutano ya hadhara na Faida zake Kwa Vyama husika, uhai wa Chama chochote ni pamoja na kujitangaza, kuuza sera na kupata wanachama wapya, and Kama sio muhimu Kwanini Kuwe na hizo mambo za Vyama vingi!?
@AbmeleckLuwumba@bavicha_taifa@JonMrema@ClubMagufuli Uchaguzi wa Kinondoni hope uliona jinsi mlivyocheza rafu,achana na ule upuuzi wa wabunge kujiuzulu nafasi zao za ubunge ili wakagombee ubunge Kwa tiketi ya ccm, uchizi upo Tanzania tuu, na unapewa chapuo kabisa
@AbmeleckLuwumba@ClubMagufuli@bavicha_taifa@JonMrema Mmeshindwa kujenga vituo vya afya, shule nzuri, huduma za maji Safi, umeme wa uhakika, barabara za kueleweka, hii ni zaidi ya miaka 50+ baada ya Uhuru, alafu unajisifia kipuuzi puuzi hapa!? Narudia Kama huna Kazi njoo ofisini kwangu nikupe na uache kuongelea vitu dhahania
@ClubMagufuli@itetemia @TheMakombe @MwitalaS @Mugaka_N@IsmailJussa@HecheJohn@ccm_tanzania@tanpol Ielewe tofauti Kati ya kazi zinazotokana taaluma na Kazi inayotokana na kuteuliwa, Majaji wamezingatia uzito wa suala lenyewe, kikatiba ni Kweli hawaruhusiwi hata kuligusa sanduku la kura sembuse kusimamia uchaguzi wenyewe, wateuzi wa Rais wakafanye Kazi za kiteuzi,full stop
@CossenyEdward @modekai__@cw_pedro@BernardMembe@ccm_tanzania@Mugaka_N Hovyo kabisa, Eti mtu anajisifia kuwa ccm, huu unafiki upo Tanzania tuu, and mbaya zaidi mtu anajaribu kumuwekea maneno mwenzake Kwa mudomo, kisa tuu anautaka UDc, mbaya Sana hii kitu
@ClubMagufuli@Mugaka_N@itetemia @TheMakombe @MwitalaS @IsmailJussa@HecheJohn@ccm_tanzania@tanpol We mpuuzi Kweli, Yaani unaulizia tume huru ya uchaguzi inaundwaje!? Kitu kikiwa huru na kitende haki, naona kinawaumiza Sana, watendaji wote wa tume ya uchaguzi wanalipwa kutokana na Kodi zetu, Kwa hiyo lazma Kuwe na uhakika wa utendaji wao
@ClubMagufuli@zittokabwe iache kutekeleza serikali yako Kwa sera zake mbovu uje umuhusishe Zitto!? Kwa kifupi Zitto amekuwa mshauri mzuri Sana, japo anapuuzwa Sana na serikali iliyopo Madarakani, alafu Kama kitu hujui ni Bora Kukaa kimya, hata kwenye suala La ulinzi na usalama wa raia, serikali ilaumiwe
@ClubMagufuli Your president is having what we call poverty mentality, that's why you can see his agenda is to ruin the built economy.., ever since he took position almost everything shuns,
@ClubMagufuli Ukweli ni kwamba Magufuli akipewa nafasi ya kuiongoza Kenya hawezi Maliza hata nusu saa ofisini, maana ni aibu kuongozwa na Kiongozi mwenye dalili za kifaduro, ila Kwa Tanzania atamaliza ngwe zote mbili za uongozi, alafu ni Poa Poa tuu,
@ClubMagufuli A person whom will not get more than a half an hour to rule Kenyans government, but here in Tanzania will serve the first 5year term and the last 5 years term, upuuzi huu
@mwigulunchemba1 Kati ya watu wamepoteza heshma na nuru zao Kwa jamii, hopefully @mwigulunchemba1 unaongoza jahazi, huwezi tetea sifa za kijinga jinga tuu namna hii, huu unafiki una Kikomo chake pia, msiongee kumfurahisha Bwana Meko ilhali ukweli unajulikana