Hawa wanaotukanwa kila siku kwasababu wanaPush Hashtag zisizo rafiki kwa Watanzania wengi wanaona ni sawa kwasababu ndio tunaocheka nao, tunaoMeet, tunakula na kunywa nao, tuko kwenye biashara zao.
Na wanajua kabisa watatukanwa na watavumilia kutukanwa na siku wakiona inatosha wataacha na watarudi kwetu wakisema “Nisameheni, yale mambo siendelei nayo tena, najua niliwakera ila nimeacha”. Na sisi kama kawaida tutawapokea vizuri tukisema“Angalau umejitambua, hayo ndio maneno, safi umefanya jambo zuri” na maneno mengine mengi. Pasipo kutambua waliyoyafanya tayari yalishasababisha damage/madhara mengi.
Ninachojaribu kusema chochote kibaya kwa sasa kinapaswa kukataliwa sio kwa maneno tuu bali hadi vitendo vihusike, kama utakataa hashtag kwa maneno ila mtu huyohuyo ni mshirika wako kwenye mambo mengine ina maana ataona ni sahihi yeye kuendelea kufanya yale yasiyo sahihi. (Mfano, ukikemea uuaji alafu marafiki zako ni wauaji ina maana na wewe unachangia wauaji wale wawe comfortable kufanya yale mauaji kwasababu hakuna repercussions, (wanaona hutowafanya chochote mwisho wa siku).
Tunapokataa hashtag zao alafu haohao ndio tunawaita marafiki, wapenzi, washkaji, dada/kaka, shangazi, Mwana, shoga yangu, Shemeji, ni kama tunawapa urahisi wa wao kufanya yale wanayoyafanya.
Tukikataa Hashtag tukatae na wanaozisambaza, na hata siku wakiona wameshajikusanyia mitonyo ya kutosha hivyo wanataka kuacha na kujirudi kundini pia muendelee kuwakataa, itakuwa ni funzo kwao na funzo kwa wale wanaofikiria kufanya yale yanayoumiza Wananchi.
Kama tutapuuzia na kuona ni ujinga au hatuwezi basi pia tusilalamikie habari za Hashtag Kandamizi. Maana malalamiko ya bure bila vitendo ni sawa na kumpigia mbuzi gitaa. Mabadiliko huanza na wewe, Kesho Bora umeibeba wewe.
Weekend Acca | 900 Odds ✅
PARIPESA Booking Code 👉 FG341
Join our telegram channel here
👉 https://t.co/k8cchLGKcZ
Bet on PARIPESA Here
👉 https://t.co/WtXcQoGBbb
Register with my promo code PREDICT01 to get 230$ bonus on your first deposit
Edit to your taste, or pick a few and play ✍️
Ulinifundisha kutetea na kusimamia haki. Nimeambiwa umeletwa "Central Police-Dar es Salaam" na wanaweza kukufungulia kesi isiyodhaminika. Vijana wako tuko tayari na "well equipped".
Free Tundu A. Lissu with immediate effect.
#Rule of law versus rule by law.
Tutakufungulia account ya 1XBET na tutakupa mtaji wa Tshs 3,000 wa kuanzia kubet.
Retweet kisha
Njoo WhatsApp👉0783534353
Sema "Acc ya 1XBET"
Rt
@Kirikuu20@kstar_one9@humbleQueen02
@1xbet_predict
@Godfreylau14
@mariaziontz
@mswahili___
@wambegu_oficial
@Mzee_Nyoko
Excited to be part of @sparkchainai 🚀 Their mission to drive sustainable decentralized infrastructure with DePIN Nodes + AI is groundbreaking.
Install the chrome extension to start earning today:
https://t.co/SnboCMq7fu
Kuna kitu ambacho binafsi kilikuwa kikinisumbua hasa katika swala ya kuunda jina la kampuni.
Nilikuwa sijui tofauti ya hizi company titles mf; Traders, Investment, Enterprise n.k
Nilipojifunza, Nikagundua sio mimi tu nilikuwa sijui, ni wengi hawajui.
Shuka na huu uzi jifunze maana zake bfore hujasajili 👇🏾
Nimepokea Barua Ya Wito Kutoka Baraza La Sanaa Tanzania, Basata Kufika Kwenye Kikao Kujadili Juu Ya Wimbo Wangu Wa #Nitasema Kikao kilipangwa kufanyika Leo Asubuhi But Nilikua Safarini, Kesho Siku Ya Ijumaa Saa Sita Mchana Nitafika Kuitikia Wito Huo.