Wauzaji wa vifaa vya cm pamoj na cm......Tupo wazi kila siku kuanzia 08:00am mpaka 06:30pm....
Delivery kwa dar es aalaam ni bure....mkoa wowote na nje ya nchi.
@azamtvtz waleteni wafanyakazi wenu waje wale na kunywa Sasa wateja wangu wote wameondoka Kwa sababu ya game ya Simba nimelipa na hamfungui,.....@SuluhuSamia
@azamtvtz hovyo kabisa, unalipia 2hrs na haifunguki unapiga cm mara 5 Kila muda wanakuambia wanafungua na hamfungui, hii dekoda hata kama ni yenu mi ndio nai own na ndio ninaeilipia mnanipangia muda wa kuangalia?
@VodacomTanzania MNA matatizo Gani Kila siku? Leo hata umeme haununuliki mara data inapotea hv hizi Hela tunazoweka m-pesa ni zenu ama zetu? Kama ni zakwetu mbona mnatupangia muda wa kuzitumia? Au tusiweke Hela kwenye M-pesa yangu @wizarahmth
Kama mnataka tuanzishe movement ya kuhama mtandao wenu mseme mnanikosesha ela mtanipa Kula nyie au mtanilipia mahitaji yangu.....kama mna ka hitilafu kenu si mseme
@Tigo_TZZ Namba yangu 0713825922 mmeifanyaje? Mara ya Kwanza MTU alikuwa akinipigia kwake haiiiti ila kwangu inaita, haya ikabadilika ikawa haipatikani kabisa na IPO kwenye cm, now kwangu haiiiti wala Kwa anayenipigia haiiiti ila mwisho inamwambia Namba unayopiga haipokelewi.....
Mama Shkamoo, Pole na Majukumu...Heri ya siku yako ya mfanano ya kuzaliwa mama; Nakuombea kwa MUNGU akujalie Maisha Marefu yenye FURAHA, AMANI, UPENDO na AFYA tele....MWENYEZI MUNGU AKUBARIKI SANA MAMA.
@SuluhuSamia
@tanescoyetutz mnatuunguzia vitu, mnakata umeme mara 5 kwa siku....mnakata usiku mara 3 asubuhi na jioni, mnatufanya masikini muwe mnatzngaza mkiwa mnakata na kurudisha umeme @SuluhuSamia@KassimMajaliwa_