@privaldinho Hii space ufanisi wake mdogo sana ,mtandao changamoto sana kwenu naona ni afadhl mkaangalia namna ya kujipanga vzr kwanz ipangiwe muda mwingine
@shafii_ibn@ShabanSalla@Deodravis@FKihamu Derby iliyopita yanga haikufanya mazoezi uwanja wa taifa,mazoezi ya mwisho yalifanyika avic,fuatilia kabla hujakurupuka kuandika kitu
@DavidMbwilo7@FKihamu Weka na ile clip aliyokua anatakiwa kupewa kadi nyekundu hamza baad ya kumchzea rafu dube akiwa beki wa mwisho๐ ,kama sio refa kumeza filimbi siku ile tungewakojolea 5 zingine.