Professional Civil Engineer | Managing Director @Ganof Intenational Ltd| Building & Civil Works Contractor| Interested in Politics|Yanga & Arsenal Fan.
@420Cousin@Advocate_Jebra Mawakili wetu awa wa kugonga mihuri ya 10k apo ukute hata hajui kama Antigua na Barbuda ni sehemu ya Visiwa vya Caribean ambavyo ni sehemu ya maeneo ya kimkakati ya Marekani sawa na kisiwa cha Barbados nyumbani kwa msanii Rihana kwa uraia.
@MunishiRenald Serikali ilinunua dhahabu inayozalishwa nchini ya nini? kama haitakiwi kuuza pale hifadhi inapozidi kiwango himilivu kwa mujibu wa sera za kifedha za serikali iliyojiwekea?
@thomasjkibwana Hajui kwamba Gold and Silver Economy ilianguka baada ya vita ya pili ya dunia sababu ikiwa nchi zenye hifadhi kubwa ya izo metals 2 zilizuia mzunguko wa biashara kimataifa hadi kupelekea kuingia kwenye dollar economy yani USD ndio pegging currency kwa sasa
@thomasjkibwana Tena kiongozi ambaye anaaminiwa na wengi kama mbadala wa viongozi waliopo, anashindwa kujua kwamba hifadhi dhahabu ya nchi sio swala la kurundika tu dhahabu store bali inakuwa kwa kiwango kinachokubalika kulingana na sera za kifedha za nchi husika na balance of payment imp/expt
@godbless_lema Ungeishauri Chadema wakati uo inapokea ruzuku ya serikali zaidi ya milioni 300 kwa mwezi mngenunua izo bitcoin sasa ivi msingeingia kwenye hii aibu ya kuchangisha na kula ela za michango ya wanachama wenu mngeweza kumiliki jengo la makao la ghorofa 10 pale posta mjini kati.
@MarekaMalili Duh kwamba siku izi kufuatwa kwa katiba ya JMT imekuwa kudra tena? kwakweli vijana wetu wa sasa kiwango cha mihemuko kipo juu sana ndio maana hadi mkawajaza CDM watumie njia ya mkato kuiondoa CCM
@MFALMEAVIT@MarekaMalili Awamu ni rais as an individual kwa mujibu wa katiba ya JMT ambapo awamu 1 itakuwa na ukomo wa vipindi viwili vya miaka mitano mitano jumla kumi mtu uyo hatoruhusiwa kugombea tena urais.
@MFALMEAVIT@MarekaMalili Kaka iyo ni kwa mtazamo wako wewe lakini kwenye katiba ya JMT imeandikwa wazi kabisa rais atakaye rithi Mamlaka ya urais kutokana na mtangulizi wake kutomaliza muula wake atahesabiwa kama ametumikia muhula wa kwanza ikiwa atahudumu kwa kipindi kisichopungua miaka mitatu.
@MarekaMalili Unafahamu kama Mwl Nyerere alifukuzwa kazi ya ualimu katika shule ya St Fransis siku izi inaitwa Pugu iliyokuwa inamilikiwa na Kanaisa Katoliki wakati huo kwa sababu tu ya harakati za kudai Uhuru wa Tanganyika.
@k_mjege Sio viongozi tu ni kawaida tu kwa sisi Watanzania ukiwa na kipato kikubwa unapandisha na level of service unazohitaji sio kwa matibabu tu ata bidhaa za matumizi ya nyumbani utaacha kwenda kununua soko la mabibo utaenda Mlimani City bia utakunywa imported sio local.
@MarekaMalili Ni mtu mpumbavu tu ndio anaweza kupuuza kazi kubwa iliyofanywa na Mzee Mwinyi kwenye mageuzi ya sera za kiuchumi za nchi hii na zaidi Muendelezo mkubwa zaidi wa mageuzi ya kiuchumi aliyofanya Mzee Kikwete baada ya Mkapa kuyaendeleza ya Mwinyi.
@RahmaMwita Ni mtu mpumbavu tu ndio anaweza kupuuza kazi kubwq iliyofanywa na Mzee Mwinyi kwenye mageuzi ya sera za kiuchumi za nchi hii na zaidi Muendelezo mkubwa zaidi wa mageuzi ya kiuchumi aliyofanya Mzee Kikwete baada ya Mkapa kuyaendeleza ya Mwinyi.