As we are approaching the second year anniversary, we would like to thank our guardian, Hon @JMakamba - Minister of energy, for his continuous support, guidance, and commitment to raising @Jerusalem_Org children.
Thank you for always being there for us, we feel safe and proud.
Happy mother's day wamama wote
Happy mother's day wamama wote wanaojitolea kutunza watoto wa Jerusalem Mungu baba akumbuke sadaka zenu. MUNGU AWABARIKI SANA https://t.co/a7xaDvCLda
Habari za jioni friends of Jerusalem tunashukuru Mungu kupokea wageni familia ya Lupembe wamekuja kutusalimia na kutuletea zawadi kwa ajili ya watoto. Mungu awabariki pamoja na familia https://t.co/FaIjl5bAI7
Asante sana Jumuiya ya Bethelehemu kutoka kanisani Kkkt kibada kuja kutusalimu na kusali nasi siku ya jumamosi.
MUNGU AWABARIKI SANA kwa upendo na sadaka ya vitu mlivyotuletea Jerusalem. https://t.co/L6SRTGIwB5
Happy Easter friends of Jerusalem, Kristo amefufuka kweli kweli haleluya
Tuzaliwe upya ndani ya mioyo yetu
#NewlifeNewbegining#Letlovelead https://t.co/ZRJBr0Ld5e
Asante sana marafiki wa Jerusalem kwa kujitoa kwenu na zawadi kwa ajili ya watoto wetu kusherehekea sikukuu ya Easter, Mungu awabariki sana
#NewlifeNewbegining#Letlovelead https://t.co/oMycAXYzD9
Asante sana mama kwa kuja kucheza na sisi.
Tunapenda kucheza, tunafurahi kucheza pamoja na mama
#NewlifeNewbegining#Letlovelead https://t.co/3aIH0EeqPt
Greetings friends of Jerusalem, May God bless you to continue love and support the needs one
Mungu atubariki tuendelee kuwapenda na kuwajali wahitaji https://t.co/seeNa3gwj1
Asanteni sana kwa kuja kututembelea kwenye kituo chetu, Asanteni sana kwa maombi mliotuombea Mungu awabariki sana Tulifurahi sana kuwa pamoja nanyi
#NewlifeNewbegining#Letlovelead https://t.co/aQP2gKEp6O