@lifeofmshaba Huyo ni Dkt. Mwesiga mtu bingwa sana jamaa kichwa balaa! Huyu jamaa huwa naona wanamwandika andika vibaya lakini nadhani hawajui jamaa akili nyingi na academician nzuri sana. Bonge moja la Natural Resources economist na bingwa wa siasa yaani political management.
@godbless_lema Kuna vitu bwana mdogo anafanya na wahuni wake wauza magari na unga Kinondoni unao shida si wao bali ni uwezo wa fฤฑkra na uzoefu. Mcharo wao watu wanao kabla hata hawajakaa kuujadili wanachojaribu hakitawezekana mpaka mwisho wa dunia. Tupo milimani tunaomba kwa sauti ya KKKT
@godbless_lema Ujinga ni kutengeneza Sauti za AI kwa mwarabu ili kumchafua aliyetengenezwa kwa miaka zaidi ya 30. @godbless_lema waambie vijana hao wasijaribu wao wapige pesa wapumzike hayo mengine si size yao
@godbless_lema Deal la kijinga hilo, Bwana mdogo anajigeuza king maker hatoweza kama hajui amuulize Mzee wa Msoga au Marehemu Mkapa au Nyerere hakuna aliyeweza ujio wa huyu unafahamika kuwa mzigo ulitoka zaidi ya bill 80 na ahadi ya kiti 2030 kwenda kwa mpendwa sana. Wanaepambana nae hawamjui
@meena_ally01@LarryMadowo I support you @meena_ally01 this is a big shame @LarryMadowo and the team. When you try to listen the story is one sided since citizen in Tanzania knows that boycotts involved attacking on peopleโs property,burning social services facilities like SGR, Petrol stations! Tell truth
@LarryMadowo Donโt try to cheat again as you did in the first unbalanced story you prepared! Itโs clear that your story is one sided story which canโt be accepted in free journalism. Stop this nonsense Mondowo itโs shame to you and CNN
@godbless_lema Mwelekeo upi? Chama hakikujiandaa kuingia kwenye uchaguzi alafu mnataka tufanye fujo? Wewe hujawai kutoa hata pua yako kwenye maandamano yoyote maisha yako yote wanao wapo Canada! Hacha siasa uchwara Lema. Mmeua Chama chetu kwa ujinga wenu