@Mwabuk2Boniface Really??? Kuna wakili wenu yuko rumande death raw alikua hapewi hata haki ya kusali, kuonana tu na mawakili wake ni kipengele and there was nothing you could do. Nothing. Kwa sasa mawakili ni toothless kwa serikali
@ACTwazalendo@TumeUchaguziTZ Nadhani we have a very early example of how this election will be. It's about time tuwe serious tusipoteze muda na nguvu kwa kweli.
@Ntobi_@Sativa255 Nadhani ndio maana mnarukaruka huku na huku, tunawalaumu bure ila kumbe hamjawahi kuelewa NRNE ina maana au lengo gani. Kama anachosema Heche hapa hukua unakijua tangu NRNE campaign inaanza, then sikulaumu, not your fault, ni uelewa wako mdogo tu. Eniewei, ndio iko hivi sasa