🎶You're the Fire in the morning
You're the cool in the evening
The BREATH in my soul
You are the LIFE in my bones...
I open up my heart to you...
LORD JESUS HAVE YOUR WAY IN ME NOW.🎶
Amen.
If @FCBayern wins the #UCL and then let's say France wins the @FIFAWorldCup or even reaches the Final, then @MO17Szn (Michael Olise) for the Balon d'or.
Any other favors? 🤷🏾♂️
Habari,
Kwa anaejua jina sahihi ya ile movie ya Yesu ya zamani kidg ilikuwa inatisha kweli kweli kuliko hii maarufu ambayo watu wengi wanaijua, naombeni msaada wa hilo jina au link ya kwenda kuipata.
Ahsante.
@Be_FrankSr Nitamwambia hii, kazi ya kwanza ya DM ni kuhakikisha mpira wwote haupiti kwenye zone yake kwa maana ukipita basi Kuna asilimia zaidi ya 80 upinzani kupata goli, hizo 20% zinabaki kwa mabeki CDs na GK kuzuia hilo goli kutokea. Ndio maana wabongo tunawaita DMs "Wakata Umeme"
@Be_FrankSr Mfumo wa uchezaji wa team jinsi gani kule mbele wanavyopress, jinsi gani wingers na playmakers wanavyopress hy ndio italeta determination ya jinsi gani DM atacheza.
Fei kacheza juu hakupata 🟨, alivyoshuka chin akapata 🟨
Shida haipo kwa Kagoma shida ipo kwenye pressing kule juu