Dear wafalme,
Waambie wasichanganye kati ya UTU wako na MALEZI yako.
UTU wako unakuwakilisha Malezi yako tu.
Lakini Tabia yako inategemeana na jinsi wanavyokutendea wao.
Jifunze kuwapokea kama wanavyokuja.
MWISHO.
Dear wafalme,
Huwa naongea na wanawake ambao tayari wanahisia na mimi,
Au wanaonesha hizo ishara.
Huwa sipendi kulazimisha mambo na wanawake wasiokuwa na mpango na mimi.
Jifunze hii,
Itakuepushia kupoteza muda, pesa na kutojishushia heshima.
If you marry a girl from a family where her father is highly respected by her mother and siblings, you've struck a goldmine. Dear son, please never lose her.
Jinsi Ya Kuongeza AURA Yako
(Aura Ni Ule Utulivu Wenye Nguvu Unaomfanya Kila Mtu Akuheshimu Na Kuhisi Uwepo Wako Bila Hata Wewe Kuongea Sana).
A Thread:
You're a man. Forgive your parents. Forgive your ex-girlfriend. Forgive your former boss. Forgive your fake friends. It doesn’t matter how bad they wronged you. Grudges hold you back. Never revenge, heal, and move on with your life. That shit delays your blessings.
Dear wafalme,
Date na mwanamke anayefurahia kama mtoto mdogo kila anapokuona au kuwa karibu na wewe.
Hawa strong and independent woman achia Ibilisi, watakutoa roho Wallah.