@Takukurutz@humanrightstz Kupuuza kuhusu maadili kuna athari kubwa mno kwa Taifa letu. Matokeo yake hasi ni mengi muno ikiwemo Ile la kuongezeka kwa rushwa ya Ngono @SuluhuSamia@Dr_DGwajima@TZMsemajiMkuu wakati ni sasa tuwajibike.. Naanza Mimi wewe je ?+255 757765733
Binti Kataa Kutafuta Pesa zako uendelee kubadilisha wanaume Kwa dau Lao mpaka utakapojua ni kiasi gani wanaume (Matajiri)walivyo wachawi na wanatumia Wanawake kufanikisha shiriki zao
🗣 José Mourinho: “I want the world to see that Africa is equal with everyone. Africans are not behind in talent. They have the talent to win any tournament, except that most of their best players are scattered around the world playing for other countries instead of their homelands. 🌍
I know I won’t be popular for making this statement, but FIFA should make things fair by refusing to let players represent other countries, this will make FIFA tournaments even more competitive not one-sided.”
Mayotte 🇾🇹 is a France-owned territory near Comoros 🇰🇲 in East Africa.
In 1974, the people voted to remain part of France, showing their 'loyalty.'
Since then, the island has seen a rise in population with over 300,000 people
It is an outermost region of the European Union.
The euro is the official currency, and French is the official language.
Tunaishi kwenye ulimwengu wa kutumiana. Ukikosa cha kumpa mtu anaona unampotezea muda.
Mheshimu sana mtu anayelinda uhusiano wenu hata kama huna cha kumpa na hata akikupoteza ni kama hana cha kupoteza.
Kwa upande mwingine, muhimu kutunza kile kinachowafanya watu waone haja ya kulinda uhusiano wenu hata kama huna kitu kinachoonekana unachoweza kuwapa—kwa maana ya maslahi ya moja kwa moja.
Kuna raha ya kuingia kwenye ndoa mkiwa washamba. Mambo mengine mkajifunzie na kufundishana huko huko nyie marafiki wazuri wawili. Inanogesha mahusiano. Mnacheka na kuongeza siku. 🤣🤣
Huyu bwana nchini Uganda anawajengea watoto wa kiume uwezo wa kujitambua, kujiamini na kujua wajibu wao kwa jamii na taifa lao. Mfano mzuri wa namna tunavyoweza kuchukua hatua kujenga kizazi kijacho badala ya kulalamika.
Matumizi mabaya ya madaraka na ufujaji wa mali za UMMA sababu kuu ya kumtoa malikia mwingine madarakani.
Sababu hizi ziliwahi kutumika kuwang'oa malikia wengine kwenye nchi kama, Brazil, Malawi, Burma, Korea na yawezatokea Nchini Tambaza
Maana HALISI ya KUSOMA kwa VITENDO yaani hapa anazalishwa mtu COMPETENT mno.🔥🔥
Sio sisi wazee wa KUKARIRI yaani tunasafari ndefu mno kweny MFUMO wetu wa ELIMU.🙆🏿🙆🏿